Nafasi Ya Matangazo

April 20, 2024

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Mkurugenzi wa Uhuru Media Group, Shaban Kisu, tuzo maalum ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kumpongeza kwa uongozi na utendaji uliotukuka katika  Tamasha Maalum la Uhuru Media Group la Kumpongeza    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan lililofanyika kwenye  Viwanja vya TTCL Kijitonyama jijini Dar es salaam, Aprili 20, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Tamasha Maalum la Uhuru Media Group (UMG) la Kumpongeza    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan lililofanyika kwenye  Viwanja vya TTCL Kijitonyama jijini Dar es salaam, Aprili 20, 2024
Baadhi ya washiriki wa  Tamasha Maalum la Uhuru Media Group la kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan lililofanyika kwenye  Viwanja vya TTCL Kijitonyama jijini Dar es salaam, Aprili 20, 2024, wakionesha  kuguswa kwao na hotuba ya mgeni rasmi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Meneja wa zamani wa Uwanja wa Taifa, Frank Macha baada ya kuhutubia katika  Tamasha Maalum la Uhuru Media Group la kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan lililofanyika kwenye  Viwanja via TTCL Kijitonyama jijini Dar es salaam, Aprili 20, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye baada ya kuzungumza katika  Tamasha Maalum la Uhuru Media Group la Kumpongeza    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan lililofanyika kwenye  viwanja vya TTCL Kijitonyama jijini Dar es salaam, Aprili 20, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Posted by MROKI On Saturday, April 20, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo