Nafasi Ya Matangazo

April 05, 2024










Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 5 Aprili, 2024 amemwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango katika Iftari inayohusisha Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini pamoja na Wananchi wa makundi mbalimbali inayofanyika katika ukumbi wa Police Messy jijini Dar es Salaam.

Iftari hiyo imeandaliwa na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT)
Posted by MROKI On Friday, April 05, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo