Nafasi Ya Matangazo

March 06, 2024






Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule Machi 5, 2024, amezindua mafunzo  ya wakaguzi wa barabara Salama Kanda ya Kati katika ukumbi wa Chuo ha Mipango Jijini Dodoma.

Mafunzo hayo ya siku tano, yana lengo la kuchunguza usalama barabarani na vyanzo vya ajali zinazotokea wakati wa matumizi ya barabara na kuongeza tija katika vituo vya kazi kwa Maafisa wa usalama barabarani.
Posted by MROKI On Wednesday, March 06, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo