Nafasi Ya Matangazo

February 15, 2024









Wahariri kutoka Vyombo vya Habari, Vitengo vya Mawasiliano Serikalini kutoka Wizara ya Madini na Taasisi zake, Wizara ya Nishati na wataalam wa Tume ya Madini wamekutana leo jijini Dodoma kwa ajili ya kupitia Mkakati wa Mawasiliano wa Tume ya Madini kwa kipindi cha miaka mitano (2024/2025 - 2028/2029 na kupongeza kazi kubwa ya uandaaji wa mkakati huo iliyofanywa na Kitengo  cha Habari, Tume ya Madini.

Mkutano huo wa siku mbili ulioanza Februari 15, 2024 unawakutanisha Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano Serikalini kwa ajili ya kuangalia namna bora ya kutangaza Sekta ya Madini sambamba na Vision ya 2030 (Madini ni Maisha na Utajiri).
Posted by MROKI On Thursday, February 15, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo