RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini alipowasili katika viwanja vya Msikiti Makuti Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo leo Februari 16,2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Makuti Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo Februari 16,2024.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mtoto Fahiri Said, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Makuti Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-2-2024.

0 comments:
Post a Comment