Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri
Mkuu wa Norway Mhe. Jonas Gahr Støre Jijini Oslo tarehe 14 Februari, 2014.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye
hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu wa Norway Mhe. Jonas
Gahr Støre Jijini Oslo tarehe 14 Februari, 2014.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mfalme
Harald V wa Norway wakati wa hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri
Mkuu wa nchi hiyo Mhe. Jonas Gahr Støre Jijini Oslo tarehe 14 Februari, 2014.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na ujumbe wake
katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa Norway Mhe. Jonas Gahr Støre Jijini Oslo
tarehe 14 Februari, 2014.
0 comments:
Post a Comment