Nafasi Ya Matangazo

February 24, 2024

Watu 15 wakiwemo raia wa kigeni watatu, wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha magari manne baada ya lori kudaiwa kufeli breki na kisha kugonga magari mengine madogo.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Justine Masejo, amesema ajali hiyo imetokea leo Jumamosi, Februari 24,2024, saa 11 jioni eneo la Kibaoni (Ngaramtoni), katika  Barabara Kuu ya Arusha-Namanga.






 

Posted by MROKI On Saturday, February 24, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo