Nafasi Ya Matangazo

October 12, 2023

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba akizungumza masuala mbalimbali kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya New Delhi nchini India. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.
 
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akizungumza kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya New Delhi nchini India katika sekta ya Maji. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.
Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Mloganzila) Dkt. Godlove Mfuko akizungumzia faida watakazozipata katika Sekta ya Afya kufuatia ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya New Delhi nchini India. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akizungumza kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya New Delhi nchini India katika sekta ya Kilimo. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya New Delhi nchini India katika sekta ya Afya. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na kuwaelezea Waandishi wa Habari kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya Doha nchini Qatar na New Delhi India. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.
Viongozi mbalimbali pamoja na Waandishi wa Habari wakiwa kwenye Mkutano wa kuelezea kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya Doha nchini Qatar na New Delhi India. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.
Waandishi kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari nchini wakiwa kwenye Mkutano wa kuelezea kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya Doha nchini Qatar na New Delhi India. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa kuelezea kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya Doha nchini Qatar na New Delhi India. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.

Posted by MROKI On Thursday, October 12, 2023 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo