Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika katika Hoteli ya Gran Meliá Jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023.
Sehemu ya viongozi na washiriki wa Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika katika Hoteli ya Gran Meliá Jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023.
Sehemu ya viongozi na washiriki wa Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika katika Hoteli ya Gran Meliá Jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi
mbalimbali kutoka Ndani na Nje ya Nchi kabla ya kufungua Mkutano wa Jukwaa la
Demokrasia Afrika uliofanyika Jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023.
0 comments:
Post a Comment