Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimaliwatu wa Jeshi la Polisi, Suzan Kaganda akila kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu, jijini Dodoma leo Novemba 11, 2022.
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi (DCI), Ramadhani Kingai akila kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu, jijini Dodoma leo Novemba 11, 2022.
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Magereza (Sheria na Uendeshaji), SACP George Mwambashi akila kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu, jijini Dodoma leo Novemba 11, 2022.Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji baada ya kula kiapo cha kuwa Wajumbe wa Tume hiyo jijini Dodoma leo Novemba 11, 2022. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi (DCI), Ramadhani Kingai, Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimaliwatu wa Jeshi la Polisi, Suzan Kaganda (kushoto) na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (Sheria na Uendeshaji), SACP George Mwambashi (kulia).
0 comments:
Post a Comment