Nafasi Ya Matangazo

July 06, 2021

 

aziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Meneja wa SIDO, Mkoa wa Dodoma Zempeho Manongi, kuhusu mashine ya kuchakata zabibu, wakati wa mkutano na wadau wa zao la zabibu, katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma, Julai 6, 2021.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongea na wadau wa zao la zabibu wakati wa mkutano na wadau wa zao hilo, katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma, Julai 6, 2021(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Manunuzi wa Kampuni ya Alko Vintage, Frida Kato kuhusu bidhaa ya mvinyo inayotengenezwa na kampuni hiyo, wakati wa mkutano na wadau wa zao la zabibu, katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma, Julai 6, 2021


Waziri Mkuu Kassim akipewa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Dkt. Godfrey Mkamilo, kuhusu tafiti mbalimbali za zao la zabibu, wakati wa mkutano na wadau wa zao la zabibu, katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma, Julai 6, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Posted by MROKI On Tuesday, July 06, 2021 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo