Nafasi Ya Matangazo

July 08, 2021

 

Afisa Mikopo Mkuu wa HESLB, Tuli Madhehebi akimhudumia mmoja wa wateja waliotembelea   Banda la HESLB  jana Jumatano (Julai 7, 2021)katika maonesho ya 45 ya biashara ya kimataifa Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.

Afisa Mikopo wa HESLB, Nicolaus Kasamia akiwasiliza wateja mbalimbali waliotembelea   Banda la HESLB  jana Jumatano (Julai 7, 2021)katika maonesho ya 45 ya biashara ya kimataifa Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.

Maafisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi ya Elimu Juu (HESLB), Rosada Fredrick na Nicolaus Kasamia wakitoa ufafanuzi kwa Wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Atlas ya Ubungo Jijini Dar es Salaam wakati walipotembelea banda la HESLB jana (Jumatano, Julai 7, 2021) katika Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.

Posted by MROKI On Thursday, July 08, 2021 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo