Nafasi Ya Matangazo

December 21, 2018

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM,  Dkt. Bashiru Ali na Spika wa Bunge, Job Ndugai  (kushoto)  wakati alipowasili kwenye eneo la Uwekaji Jiwe la Msingi la Mradi wa  Daraja na Barabara Unganishi toka Aga Khan hadi Coco Beach jiijni Dar es salaam, Desemba 20, 2018. Jiwe hilo la Msngi liliwekwa na Rais, Dkt, John Pombe Magufuli. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Posted by MROKI On Friday, December 21, 2018 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo