Nafasi Ya Matangazo

September 28, 2017

1
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe akikabidhi msaada wa mashine mbili za Kupima Kiwango cha Hewa na Mapingo ya Moyo kwa Watoto wachanga (Pulse Oxmeter) kwa Daktari Bingwa wa Watoto katika hospitali ya Mwananyamala Dkt. Elnestina Mwipopo leo jijini Dar es salaam, Kampuni hiyo imetoa mashine hizo zenye thamani ya shilingi milioni 2.8 na vitu mbalimbali kwa ajili ya watoto katika hospitali hiyo jumla ya msada wote ni shilingi milioni 3.8.
2
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe akikabidhi msaada wa Vifaa mbalimbali vya kuwahudumia watoto kwa Daktari Bingwa wa Watoto katika hospitali ya Mwananyamala Dkt. Elnestina Mwipopo leo jijini Dar es salaam, Kampuni hiyo imetoa mashine hizo zenye thamani ya shilingi milioni 2.8 na vitu mbalimbali kwa ajili ya watoto katika hospitali hiyo
3 4
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe na Daktari Bingwa wa Watoto katika hospitali ya Mwananyamala Dkt. Elnestina Mwipopo mara baada ya kukabidhiana msaada wa mashine mbili za Kupima Kiwango cha Hewa na Mapingo ya Moyo kwa Watoto wachanga (Pulse Oxmeter) kwa leo jijini Dar es salaam.
5
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi misaada hiyo.
6
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance ya jijini Dar es salaam Bw. Charles Sumbwe akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi misaada hiyo wa pili kutoka kulia ni Lugano Mkisi Mkuu wa Masoko Kampuni ya Bima ya MGen Insurance Tanzania.
7
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance ya jijini Dar es salaam wakiwa katika hospitali ya Mwananyamala tayari kwa kukabidhi misaada hiyo.
8
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance ya jijini Dar es salaam wakibeba miziogo baada ya kuwasili katika h ospitali ya Mwananyamala tayari kwa kukabidhi misaada hiyo.
9
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bima ya MGen Insurance ya jijini Dar es salaam wakishusha mizigo kwenye gari mara baada ya kuwasili katika hospitali ya Mwananyamala tayari kwa kukabidhi misaada hiyo.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE)
Posted by MROKI On Thursday, September 28, 2017 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo