Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa
Fidia Kwa Wafanyakazi, Masha Mshomba, akitoa hotuba kwenye ufunguzi wa mafunzo
ya siku tano kwa madaktari kutoka mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, yanayofanyika
mjini Mbeya Juni 13, 2016.Mafunzo hayo ni muendelezo wa kampeni ya WCF kwa
kushirikiana na Shirika la Kazi Duniani, ILO, kuwapatia mafunzo Madaktari kote
nchini, ili kujenga uwezowa kufanya tathmini ya madhara aliyoyapata
mfanyakazimahala pa kazi kabla ya kupatiwa fidia. WCF itaanza kutoa Fidia kwa
Wafanyakazi Kuanzia Julai 1, 2016.
Baadhi ya madaktari waliohudhuria mafunzo hayo
0 comments:
Post a Comment