Boys boys ni kipindi
kinachorushwa na Tv1 Tanzania kinachokutanisha wanaume na kuzungumza mambo
mbali mbali kama mahusiano, elimu, afya,uchumi
biashara na mengine mengi. Mbali na hayo unapata fursa ya kuonamagari makali
, sehemu nzuri za wanaume kupata kinywaji na kupumzika bilakusahau gadgets kali
kabisa.
Ujuzi na elimu yake kuboresha
na kupanua ufanisi wake katika taaluma ya Mtangazajibwa season ya tano atakuwa
ni Daniel kijo ambaye ameweza kutumia utangazajaji. Ametumikia jamii katika
sekta mbali mbali, lakini Ijuma hii
kipindi cha kwanza msimu wa tano kitaruka saa 2.30 usiku na kipaumbele chake
nikukufikia wewe mtazamaji. Kaa tayari Kwa muonekano mpya wa msimu mpya wa show
ya "boys boys" ikiletwa kwenu na Daniel Kijo
Usikose!!
Atakuwepo Godwin Gondwe, Bikira
wa Kisukuma na Harmonize wakijadili
namna ya kupata mwanamke mwenye kipato zaidi yako.
0 comments:
Post a Comment