Father Kidevu akionesha Kitabu kilichotungwa na Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kutoka Ndaki ya Uchumi wakiongozwa na Profesa Lucian Msambichaka kitwaacho "HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY?" hakika ni kitabu kilicho na majibu sahihi ya Tanzania na watanzania watakavyoweza kuondoka kwenye Umasikini kwenda kwenye Usitawi.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Dkt. Abdallah Possi (katikati ) akionyesha
kitabu kilichozinduliwa leo kitabu cha
HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY? kitabu hicho kimezinduliwa katika ofisi ya
waziri mkuu jijini Dar es Salaam tarehe
10 Machi 2016. Wengine ni wahadhiri wa chuo kikuu cha Dar es Salaam wakipiga
makufi mara baada ya kuzindua kitabu hicho.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Dkt. Abdallah Possi akikata utepe kuashiria
uzinduzi wa kitabu cha HOW CAN TANZANIA
MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY? katika
ofisi ya waziri mkuu jijini Dar es
Salaam tarehe 10 Machi 2016.
Profesa Laciun Msambichaka na mhariri Mkuu wa kitabu cha HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY? akizungumza katika uzinduzi wa kitabu cha kitabu hichokatika uzinduzi uliofanyika jijini Dares Salaam tarehe 10 Machi 2016, katika ofisi ya waziri mkuu.
Mhadhiri wa chuo kikuu cha
Dar es Salaam, Dk. Bashiru Ally
(Kushoto) akifafanua dhima nzima ya kitabu cha HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO
PROSPERITY? katika ofisi ya waziri mkuu
jijini Dar es Salaam, tarehe 10 Machi 2016, Katikati ni Mkuu wa
Ndaki ya Sayansi ya jamii chuo kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Godius
Kahyarara na kulia ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye
Ulemavu) Dkt. Abdallah Possi wakiwa kwenye uzinduzi wa kitabu hicho.
Rasi wa Ndaki ya Sayansi ya
jamii chuo kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Godius Kahyarara akifafanua jambo
katika uzinduzi wa kitabu cha HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERT TO PROSPERITY katika ofisi ya waziri mkuu jijini Dar es Salaam tarehe 10 Machi 2016.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Dkt. Abdallah Possi akizungumza katika
uzinduzi wa kitabu cha HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY? (Jinsi gani Tanzania kutoka katika umasikini
kuelekea katika ustawi) kimeandikwa na
wahadhili kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam. Kitabu hicho kimezinduliwa
katika ofisi za waziri mkuu jijini Dar es Salaam tarehe 10 Machi 2016.
Baadhi ya wahadhiri na
waalikwa waliohudhuria katika uzinduzi wa kitabu kitabu cha HOW CAN TANZANIA
MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY? katika
ofisi ya waziri mkuu jijini Dar es Salaam tarehe 10 Machi 2016.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Dkt. Abdallah Possi akiwa na baadhi ya
wahadhiri, waandishi wa kitabu na
waalikwa wakiwa katika picha ya Pamoja mara baada ya uzinduzi wa kitabu
cha HOW CAN TANZANIA MOVE FROM POVERTY TO PROSPERITY? katika ofisi ya waziri mkuu jijini Dar es
Salaam tarehe 10 Machi 2016.
0 comments:
Post a Comment