Jeneza lenye mwili wa marehemu Injinia Suleiman, likifikishwa makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam, leo Januari 18, 2016 tayari kwa amzishi
Marehemu Injinia Suleiman Said Suleiman
Hosam Suleiman Said Suleiman, (kushoto), mtoto wa mwisho wa marehemu akifarijiwa na vijana wenzake
Balozi wa Uholanzi hapa nchini, Jaap Frederiks akijumuika na waombolezaji wengine nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam. Uholanzi ni mdau mkubwa wa viwanja vya ndege hapa nchini
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Mzee Hassan Dalali, akimuelezea marehemu wakati kuhusu mchango wake katika klabu hiyo
Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, Bw.Injinia Thomas Haule (wakwanza kulia), na waombolezaji wengine wakiwa kwenye makaburi ya Kisutu alikozikwa marehemu. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI.
Mfanyakazi wa TAA, akiwa na huzuni wakati wa mkusanyiko wa waombolezaji nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Sheria wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, (TAA), ambaye pia anashughulikia Mahusiano, Bw.Ramadhan Maleta, (katikati), akiwa na huzuni wakati wa mkusanyiko wa waombolezaji nyumbani kwa marehemu
Mwenyekiti wa Bodi ya TAA, Profesa Msambichaka, akitoa salamu za Mamlaka wakati wa mkusanyiko wa waombolezaji nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam
Bw. Maleta, akijadiliana jambo na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa TAA, Bw. Godfrey Lutego, (kushoto)
Salamu kutoka TAA
Mkurugenzi wa mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere TBIII, Mhandisi Mohammed Milanga, (mwenye balaghashia)akiwa na waombolezaji wengine nyumbani kwa marehemu
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAA, Injinia Prosper Tesha, akimuelezea marehemu ambaye alichukua nafasi yake baada ya mkataba wake kumalizika
Huzuni ilitawala kwenye mazishi ya Injinia Suleiman
Baadhi ya wadanyakazi wa TAA, wakiwa makaburini wakati wa mazishi hayo |
0 comments:
Post a Comment