Nafasi Ya Matangazo

January 20, 2016

Maonesho ya 5 ya Kimataifa ya Vito ya Arusha yenye aina mbalimbali za vito zikiwemo Tanzanite, Ruby, Sapphire, Tsavorite, Rhodolite, Spessartite, Tourmaline, Chrysoberyl na Almasi yanatarajiwa kuvutia Zaidi ya kampuni 100 za wafanyabiashara na wachimbaji madini ya Vito kutoka Tanzania na nchi zingine za Afrika Mashariki, Kati na Kusini;

na zaidi ya wanunuzi 500 kutoka zaidi ya nchi 25 ulimwenguni

Jisajili na Ushiriki Sasa!!!

Wasiliana na: Kamati ya Maandalizi AGF
Simu: +255 784352299 or +255 767106773


:ama Ofisi za Madini za Kanda
Yameandaliwa na Wizara ya Nishati na Madini
kwa kushirikiana na
Chama cha Wafanyabiashara wa Madini (TAMIDA)
Posted by MROKI On Wednesday, January 20, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo