Nafasi Ya Matangazo

December 09, 2015


Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Bia Tanzania wakishiriki zoezi la kufanya usafi katika maeneo ya Mchikichini Ilala jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Uhuru ambapo kwa mwaka huu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Magufuli ameitangaza kuwa siku ya usafi kwa nchi nzima.
Wafanyakazi wa kiwanda Bia tawi la Arusha wakifanya usafi eneo la kituo kikuu cha mabasi jijini Arusha kuitikia wito wa Rais Dk John Magufuli kufanya usafi wakati wa maadhimisho ya ya Uhuru wa Tanganyika.
Posted by MROKI On Wednesday, December 09, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo