Nafasi Ya Matangazo

July 14, 2015

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na makada wa CCM wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi. Makada hao walikuwa uwanjani hapo kwa mapokezi ya mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli

 Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam  Mhe Said Meck Sadick wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali davis Mwamunyange na Mkuu wa Jeshio la Polisi IGP Ernest Mangu wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa    kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi.
Posted by MROKI On Tuesday, July 14, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo