Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Naibu Mkurugenzi wa Azam TV Bw.
Dunstan Tido Mhando wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya
za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6,
2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitangaza rasmi kuzinduliwa kwa studio mpya
za stesheni ya Azam TV Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6,
2015. Pamoja naye kwenye kilinge cha utangazaji ni mmiliki wa stesheni
hiyo Bw. Saidi Salim Bakhressa
RAis Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara pamoja na
uongozi na baadhi ya wafanyakazi wa Azam TV wakati wa sherehe za
uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini
jijini Dar es salaam leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe akiwa na Waziri wa Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara pamoja na uongozi na
baadhi ya wafanyakazi wa Azam TV wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi
wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es
salaam leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa fundi mitambo Mkuu
wa Azam TV Bw. Mehdoub al Hadad juu ya namna gari la kurusha matangazo
nje ya studio (OB Van) linavyofanya kazi wakati wa sherehe za uzinduzi
rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar
es salaam leo Machi 6, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo Dkt Fenella Mukangara wakitmbezwa sehemu mbali mbali za Azam TV
na mwenyeji wao Bw. Saidi Salim Bakhressa wakati wa sherehe za uzinduzi
rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar
es salaam leo Machi 6, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Bw. Saidi Salim Bakhressa
wakati alipohudhuria sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za
stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6,
2015.
0 comments:
Post a Comment