Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu,
akizunfumza wakati wa semina ya siku moja iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa
maafisa rasilimali watu kutoka wakala za serikali iliyofanyika mjini Bagamoyo
mkoa wa Pwani
Mmoja wa washiriki wa semina hiyo, akizungumza.
Katibu Mkuu Ikulu, akitoa hotuba ya ufunguzi wa Semina ya
siku moja iliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kwa maafisa rasilimali
watu huko Bagamoyo mkoani Pwani, Alhamisi Oktoba 16, 2014. Warsha hiyo ililenga
kuwapatia elimu waajiri kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo kwa
wanachama wake.
Katibu Mkuu Ikulu, Peter Ilomo, (Kulia), akiongozana na
Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Gabriel Silayo, wakati wa
mapumziko ya chai baada ya kufungua semina ya siku moja iliyoandaliwa na Mfuko
huo kwa maafisa rtasilimali watu huko Bagamoyo mkoani Pwani
Washiriki katika picha na afisa wa PSPF
Washiriki wa semina wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa
zikitolewa na wataalam wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kuhusu huduma mbalimbali
zitolewazo na Mfuko huo kwa wanachama wake, Semina hiyo ilifanyika mjini
Bagamoyo
0 comments:
Post a Comment