Nafasi Ya Matangazo

August 05, 2014

Washiriki wa shindano la Redd’s miss Kinondoni 2014 wakiwa katika picha ya pamoja kwenye mazoezi yanayofanyika kwenye Hotel ya Picolo jijini Dar es Salaam, Jumla ya warembo 20 wapo mazoezini kujiandaa na shindano litakalofanyika ijumaa 15/08/2014 katika Fukwe za Escape One kwa kiingilio cha 10,000 na 30,000 kwa VIP. Dhambi kukosa!!!
Posted by MROKI On Tuesday, August 05, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo