Wafanyakazi wa Kampuni ya Tan
Communication Media inayomiliki kituo cha Redio 5 chenye makao yake
makuu jijini Arusha, wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mkuu
wa mkoa wa Manyara Erasto Mbwilo na viongozi wa Taso mara baada ya
kunyakua ubingwa katika maonyesho ya kanda ya kaskazini kwa upande wa
Sekta ya Mawasiliano na habari katika viwanja vya nane nane Themi jijini
A rusha
Meneja masojo wa Tan Communication media Bi.Sarah
Keiya akiwa na timu yake kutoka Redio 5 wakiwa wamebeba zawadi ya
mbolea kwa washindi katika maonyesho hayo ambapo pia walitoa baskeli
mbili
Mtangazaji
wa Redio 5 Hilda Kinabo wa kipindi cha mishe mishe akiwa anafurahia
kikombe walichoshinda baada Redio hiyo kushika nafasi ya kwanza katika
sekta ya mawasiliano na habari kwa ukanda wa kaskazini
Godfrey Thomas mtangazaji wa kipindi cha Usiku wa Moto akiwa anaendesha baskeli kwaajili ya washindi wa maonyesho hayo
Mohamed ambaye pia ni Dj mkali sana wa Ataun city akishow love na kikombe walichokinyakua katika maonyesho hayo
Meneja masoko wa Tan media Bi.Sarah
Keiya akiwa na baadhi ya timu yake wakifurahia kikombe katika banda lao
la kudumu katika viwanja hivyo vya nane nane jijini Arusha
Wafanyakazi
wa Redio 5 wakiwa katika nyuso za furaha,nyuma ni washabiki wao
waliokuwa wakiwashangilia mara baada ya kushinda katika sekta ya
mawasiliano na habari
Mtangazaji wa Africa ngomaa Ernest Matundiro kushoto ni Geofrey Stephen wakifanya yao
Mtangazaji Mwanaisha Suleiman akiwa ameshikilia kikombe
Watoto nao walipata mda wa kuonyesha vipaji vyao….ilikuwa balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Watatu
kushoto ni Mtangazaji maafu Semio Sonyo wa kipindi cha Love cuts
kilichompa umaarufu mkubwa kinachoruka jumatatu hadi ijumaa saa nne hadi
saba usiku
0 comments:
Post a Comment