Mgeni
rasmi katika sherehe ya maadhimisho siku ya wanawake duniani iliyondaliwa na Phenomenal
Women Group, Mama Regina Lowassa akikata keki kuashiria ufunguzi rasmi
wa kikundi hicho halfa iliyofanyika jana Machi 8/2014 katika ukumbi wa
World Garden Moshono jijini Arusha ambapo kampuni Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5 ilishiriki
kudhamini siku hiyo ya wanawake duniani.
Mgeni rasmi Mama Regina Lowassa akifungua chupa ya wine,kushoto kwakwe ni mwenyekiti wa kikundi hicho Bi.Youthness Godfrey
Mgeni
Rasmi katika halfa ya siku ya wanawake dunia Mama Regina Lowassa
akisoma hotuba huku akisisitiza wanawake kujitambua pamoja na kujikubali
hali itakayosaidia wao kushiriki katika maendeleo na kuchangia pato la
Taifa
Mwanamuziki maarufu Snura akiwaburudisha wanawake katika halfa hiyo iliyoandaliwa na kikundi cha Phenomenal Group
Wacheza show wa Snura wakitoa burudani
Wageni waalikwa wakiangalia burudani kutoka kwa mwanamuziki Snura
Aliyevalia sare za jeshi ni Ispekta Mariam
Wakinamama wakionekana na nyuso za furaha katika halfa ya
siku ya wanawake duniani
Kushoto ni Dk.Msuya ambaye ni Daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake katika hospitali ya St.Thomath jijini Arusha
Mwenyekiti wa kikundi cha Phenomenal Women Group Youthness Godfrey akisoma risala kwa mgeni rasmi
Mama
Regina Lowassa akiwa katika zoezi la kuwamiminia akina mama wine mara
baada ya kugungua kuashiria ufunguzi rasmi wa kikundi cha Phenomenal
Women Group
Kushoto Sarah Keiya Meneja masoko wa kampuni Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5 Arusha akiwa katika picha ya pamoja na Pamela Sioi
Muonekano wa baadhi ya wanakikundi wa Phenomenal Women Group
Sarah Keiya Meneja masoko wa kampuni Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5 Arusha akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa kikundi hicho Youthness Godfrey
Wadau wakishow love na Pamela Sioi,mtoto wa
Mama Regina Lowassa
Hapa wadau wakiwa katika pozi na mgeni rasmi Mama Regina Lowassa
kushoto niMmiliki wa
jamiiblog akishow love na wadau
Muonekana wa keki pamoja na wine kabla havijatumika
0 comments:
Post a Comment