Vijana wakitoa burudani wakati wa amsha amsha hiyo ya kusaka washiriki wa Tusker Project Fame.
Baada ya
ya Shangwe za Tusker Project Fame kurindima katika mikoa ya Arusha, Mbeya, Mwanza juzi Septemba Mosi ilikuwa
zamu ya jiji la Dar es Salaam kupata shangwe hizo .
Shangwe
hizo ni katika amsha amsha ya kupata wawakilishi ambao watafanyiwa usaili na
baade kupata mwakilishi mmoja au wawili ambao wataiwakilisha nchi katika
mashimndano ya uaimbaji wa Afrika Mashariki.
usahili
utakaofanyika hivi karibuni wa nani ataiwakilisha Tanzania katika mashindano ya
kusaka kipaji bora cha kuimba Afrika Mashariki ambao unategemewa kufanyika
tarehe 7 na 8 mwezi huu, kampuni ya bia ya Serengeti imewaburudisha watanzania
wa mikoni na kuwapa fursa ya kushiriki usahili huo kwa kuwapa nafasi ya
kuonesha uwezo wao wa kuimba na mshindi kujipatia tiketi ya kusafiri mpaka Dar
es salaam ili kushiriki katika usahili huo.
Wateja
wa kampuni hiyo mkoani Arusha walijipatia tisheti, bia za bure na washindi wa
kipaji cha kuimba walipata tiketi za bure za kushiriki usaili mkoanidar
es salaam.
Washindi
hao ni pamoja na David Jamal,Bartazal Kauki na wengine wengi. pia mkoani mbeya
mashindano hayo yalifanyika katika baa za Rombo Bar, Mama Land Bar na Airport
Bar ambapo kila bar ilitoa mshindi na kujipatia tiketi ya
kushiriki usaili.
0 comments:
Post a Comment