Naibu Waziri wa mali asili
na Utalii Lazaro Nyalandu mtoto ambaye ni majeruhi aliyeathiriwa maeneo ya
tumbo katika mlipuko wa bomu ,akimtembelea majeruhi walioathirika na shambulio
la bomu bomu lililofanywa jana na mtu asiyejulikana katika ibada ya uzinduzi wa
parokia mpya ya Mtakatifu Joseph iliyoko kata ya olasiti mkoani Arusha uliokuwa
ukfanywa juzi na kusitishwa baada ya tukio hilo.Jumla ya watu 40 walijeruhiwa
.Kulia ni Sister Beatrice Mndemo ambaye ni Muuguzi Msimamizi wa idara ya
upasuaji.
Nyalandu alikabidhi msaada wa Shirika la hifadhi za Taifa(TANAPA) kwa waathirika wa tukio hilo wa mablangeti 50 yenye thamani ya Sh 2.3 milioni na fedha taslimu kiasi cha Sh 16.2 milioni kwaajili ya kununulia dawa pamoja na vifaa mbalimbali vyakuhudumia wagonjwa hao.
''Nimefika hapa nimehuzunika kwani nimekuta watoto wameumia sana nawapa pole wote waliofikwa na tukio hili na zaidi nawaombea wapone lakini pia nawapongeza madaktari na wauguzi kwa huduma wanazozitoa pia nawaomba na wengine wajitolee kutoa misaada mbalimbali ili kuokoa maisha ya watu hawa'',
Alisema Inasikitisha kuona watoto wakiwa wameumia pamoja na watu mbalimbali lakini zaidi ni mtoto wa miaka mitatu Kelvin Njau ambaye ameumia sehemu za miguu huku mama yake akishindwa kuelezea tukio hilo na kuanza kulia.
Naye Dk ,Mariam Murtaza ambaye ni Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mount Meru aliishukuru wizara kwa msaada huo pamoja na wadau mbalimbali wanaojitokeza kuchangia damu pamoja na vifaa mbalimbali ili kuokoa maisha ya wahanga hao .
Dk Murtaza Pia aliwapongeza madaktari,wauguzi na wataalam mbalimbali kwa ushirikiano wanaoendelea kuuota na kuwaomba waendelee kuwa na ushirikiano kama huo pale yanapotokea majanga mbalimbali.
**** *******
Naibu Waziri wa
Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu jana alitembelea hospitalini ya
Mount Meru na kuwapa pole majeruhi waliopa madhara mbalimbali
akiongozana na viongozi mbalimbali wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa
Tanzania (TANAPA).Nyalandu alikabidhi msaada wa Shirika la hifadhi za Taifa(TANAPA) kwa waathirika wa tukio hilo wa mablangeti 50 yenye thamani ya Sh 2.3 milioni na fedha taslimu kiasi cha Sh 16.2 milioni kwaajili ya kununulia dawa pamoja na vifaa mbalimbali vyakuhudumia wagonjwa hao.
''Nimefika hapa nimehuzunika kwani nimekuta watoto wameumia sana nawapa pole wote waliofikwa na tukio hili na zaidi nawaombea wapone lakini pia nawapongeza madaktari na wauguzi kwa huduma wanazozitoa pia nawaomba na wengine wajitolee kutoa misaada mbalimbali ili kuokoa maisha ya watu hawa'',
Alisema Inasikitisha kuona watoto wakiwa wameumia pamoja na watu mbalimbali lakini zaidi ni mtoto wa miaka mitatu Kelvin Njau ambaye ameumia sehemu za miguu huku mama yake akishindwa kuelezea tukio hilo na kuanza kulia.
Naye Dk ,Mariam Murtaza ambaye ni Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mount Meru aliishukuru wizara kwa msaada huo pamoja na wadau mbalimbali wanaojitokeza kuchangia damu pamoja na vifaa mbalimbali ili kuokoa maisha ya wahanga hao .
Dk Murtaza Pia aliwapongeza madaktari,wauguzi na wataalam mbalimbali kwa ushirikiano wanaoendelea kuuota na kuwaomba waendelee kuwa na ushirikiano kama huo pale yanapotokea majanga mbalimbali.
Naibu
Waziri wa mali asili na Utalii Lazaro Nyalandu mtoto ambaye ni majeruhi
aliyeathiriwa maeneo ya tumbo katika mlipuko wa bomu ,akimtembelea majeruhi
walioathirika na shambulio la bomu bomu lililofanywa jana na mtu asiyejulikana
katika ibada ya uzinduzi wa parokia mpya ya Mtakatifu Joseph iliyoko kata ya
olasiti mkoani Arusha uliokuwa ukfanywa juzi na kusitishwa baada ya tukio
hilo.Jumla ya watu 40 walijeruhiwa .Kulia ni Sister Beatrice Mndemo ambaye ni
Muuguzi Msimamizi wa idara ya upasuaji. Picha: Ferdinand Shayo.
0 comments:
Post a Comment