Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi
mrefu na tabia njema, Sajini Meja kwenye hafla ya kuwavisha nishani
Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki.
Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na Hassan
Mndeme-Jeshi la Polisi.

Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi
uliotukuka Tanzania, Mkuu wa Kitengo cha maadili, Kamishna Msaidizi wa
Polisi (ACP), Patrick Byatao kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa,
wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo
ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la
Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi
mrefu Tanzania, Mkuu wa Mafunzo wa Jeshi la Polisi Kamishna Msaidizi
Mwandamizi wa Polisi (SACP), Elice Mapunda kwenye hafla ya kuwavisha
nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya
Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na
Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya mwenge
wa uhuru daraja la nne, Sajini Martha Njau kwenye hafla ya kuwavisha
nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya
Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na
Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
0 comments:
Post a Comment