Nafasi Ya Matangazo

May 28, 2013


Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (anaeshughilikia Mipango na Miundombinu) Dk Enos Buku (kulia) akijadiliana jambo na Mratibu wa Mafunzo EAC-EABC-GIG, Sukhdev Chhatbar, mjini Arusha leo wakati wa siku ya mwanzo ya ya mafunzo ya siku tatu ya mtandao wa Waandishi wa biashara Afrika Mashariki. Waandishi wa habari zaidi ya 30 na maafisa wa Mawasiliano kutoka nchi wanachama wa EAC wanahudhuria kuhudhuria semina hiyo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Biashara la Jumuia ya Afrika Mashariki, Andrew Luzze Kaggwa, akizungumza wakati wa semina hiyo kwa waandishi wa habari wa Jumuia ya Afrika Mahsriki.
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (anaeshughilikia Mipango na Miundombinu) Dk Enos Buku (wapili kushoto) akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo ya siku tatu. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Biashara la Jumuia ya Afrika Mashariki, Andrew Luzze Kaggwa na kulia ni Mwandishi Mkongwe wa habari, Salim Salim.
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (anaeshughilikia Mipango na Miundombinu) Dk Enos Buku akifungua Semina hiyo.
Washiriki wakipiga picha ya pamoja na mgemni rasmi.
Posted by MROKI On Tuesday, May 28, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo