Nafasi Ya Matangazo

December 07, 2012

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa DHL, Blaise D'sauza, mara baada ya uzinduzi wa jengo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi, (DHL) lililopo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Desemba, 07, 2012. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa DHL, Blaise D'sauza, wakati alipokuwa akitembelea katika jengo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi, (DHL) baada ya kuzindua rasmi jengo hilo lililopo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Desemba, 07, 2012. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Usimamizi wa Uingizaji wa Mizigo, Buzegi Kulwa (kulia) wakati alipokuwa akitembelea katika jengo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi, (DHL) baada ya kuzindua rasmi jengo hilo lililopo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Desemba, 07, 2012. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Msimamizi wa huduma kwa Wateja upande wa uingizaji wa mizigo, Ebtisam Bobsaith (kushoto), wakati alipokuwa akitembelea katika jengo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi, (DHL) baada ya kuzindua rasmi jengo hilo lililopo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Desemba, 07, 2012. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa DHL, Blaise D'sauza (wa pili kushoto) ni Meneja Usimamizi wa Uingizaji wa Mizigo, Buzegi Kulwa na (wa tatu kulia) ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo wakati akiendelea kutembelea katika jengo hilo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi, (DHL) baada ya kuzindua rasmi jengo hilo lililopo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Desemba, 07, 2012. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya uzinduzi jengo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi, DHL wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa jengo hilo, iliyofanyika leo Desemba 07, 2012 katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya uzinduzi jengo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi, DHL wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa jengo hilo, iliyofanyika leo Desemba 07, 2012 katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Friday, December 07, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo