Nafasi Ya Matangazo

December 02, 2012

Dereva wa Gari aina ya Nissan Hardbody T 420 BPD akivuja damu huku akijaribu kuwasiliana na ndugu zake usiku huu baada ya gari alilokuwa akiendesha akitokea Ubungo kwenda Bugururuni, kupinduka mara mbili katika eneo la Tabata Dampo barabara kuu ya Mandela jijini Dar es Salaam. Kabla ya kupinduka gari hili lilianza kuyumba na kasha kupinduka mara hizo mbili na kusimama na kugeukia alikotoka.
 Gari hilo Toyata Hardbody likiwa limeharibika baada ya kupinduka na kugeuka lilikotokea.
 Dereva akiinuka kutoka ene aliko anikatika eneo la kati ya barabara  na kuchechemea.

Posted by MROKI On Sunday, December 02, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo