Nafasi Ya Matangazo

November 28, 2012

Bi Fauzia M. Haji, mwenyekiti wa kamati ya wataalam ya mabadiliko ya tabianchi kutoka Ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, akifuatilia mjadala wa wa kundi la Africa katika mkutano wa 18 wa duania wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea mjini Doha leo,( Picha na Evelyn Mkokoi)
Kushoto Bw. Richard Muyungi Mwenyekiti wa kamati ya dunia ya sayansi na taaluma ya mabadiliko ya tabia nchi akijadili masuala muhimu yatakayojadiliwa katika kilimo na msaidizi wake Bi Hanna Hoffmann ofisini kwake mjini Doha, kabla ya kuendelea kuendesha mikutano ya kamati hiyo inayoendelea katika mkutano wa 18 wa dunia wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabia nchi leo.
Posted by MROKI On Wednesday, November 28, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo