Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani nchini,Mohamed Mpinga akifafanua jambo kuhusiana na maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani ambayo Kitaifa inafanyika mkoani Iringa,maadhimisho hayo ambayo yamedhaminiwa na kampuni ya simu za mikononi ya Airtel,yamezinduliwa jana kwenye uwanja wa Samora na Waziri wa mambo ya ndani Mh Dr Nchimbi,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni “PAMBANA NA AJALI ZA BARABARANI KWA VITENDO, ZINGATIA SHERIA”Pichani shoto ni Mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na redio ya Clouds FM,Said Bonge a.k.a Bonge Barabarani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment