Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi 26,000,000 kwa mwakilishi wa Hassan Maajar Trust (HMT) na Andrew Hogson, Kaimu Meneja Mkuu wa tiGo akishuhudia. Fedha hizo zitatumika kununulia na kugawa madawati katika shule tano kutoka wilaya za Makete na Njombe. Shule zitakazonufaika ni Maendeleo (135), Umoja (196), Kumbila (200), Makonde (152) na Mbela (37). Makabidhiano hayo yalifanyika leo jijini Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment