Nafasi Ya Matangazo

July 05, 2012

MENEJA MAWASILIANO WA ZANTEL, AWAICHI MAWALLA AKIJIBU SWALI LILILOULIZWA NA MWANDISHI WA HABARI WAKATI MAJAJI WA SHINDANO LA EPIQ BONGO STAR SEARCH WALIPOTEMBELEA KATIKA BANDA LA KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI YA ZANTEL KWENYE VIWANJA VYA SABASABA JANA
MADAM RITA AKIWASALIMIA WAFANYAKAZI WA ZANTEL.
: MADAM  RITAH  NA SALAMA JABIR  WAKIPIGA PICHA NA WAFANYA KAZI WA ZANTEL NJE YA BANDA LA ZANTEL - SABASABA
MASTER J AKIPIGA PICHA MBELE YA TANGAZO LAKE LA EPIQ MOTO.
MADAM RITAH AKIZUNGUSHWA BANDA LA ZANTEL SABASABA
MAJAJI WA EPIQ BONGO STAR SEARCH, MADAM RITAH, SALAMA JABIR  NA MASTER J. WAKITOKA KWENYE BANDA LA ZANTEL.
Posted by MROKI On Thursday, July 05, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo