Nafasi Ya Matangazo

May 27, 2012

Mmoja wa waandamanaji wa Kundi la Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara  ya  Kiislamu (JUMIKI) Kisiwani Unguja, Zanzibar akionyesha kitambaa kilicho na damu mapema leo asubuhi wakati wakiendelea na maandamano yao ambayo yamesababisha vurugu kubwa kisiwani humo, hali iliyosababisha kuchomwa moto kwa moja ya makanisa pamoja na baadhi ya magari yaliyokuwa yameegeshwa karibu na njia wapitazo.
  Waandamanaji wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam (JUMIKI) wakiendelea na maandamano yao mapema leo asubuhi.
Askari wa Jeshi la Polisi kikosi cha kuzuia Ghasia wakifanya doria katika mitaa mbalimbali ya Zanzibar mapema leo asubuhi.
Posted by MROKI On Sunday, May 27, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo