Nafasi Ya Matangazo

May 26, 2012


 Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangallor (kulia) akimpongeza Monica Joseph mmoja wa wateja wao waliohudhuria uzinduzi wa filamu ya ‘Men in Black 3 in 3D uliodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Century Cinemax, Mlimani City, Dar es Salaam jana. Monica alishinda simu ya mkononi.
 Meneja Huduma wa Airtel, Hilda Nakajumo (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa filamu ya ‘Men in Black 3 in 3D uliodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Century Cinemax, Mlimani City, Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangallor na kushoto ni mmoja wa wateja wao, Monica Joseph waliohudhuria uzinduzi huo na kuibuka mshindi wa zawadi ya simu iliyotolewa na Airtel
kunogesha uzinduzi huo.
DJ Fetty wa Clouds Radio naye akipokea zawadi yake kutoka kwa Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel Tanzania, Irene Madeje Mlola wakati wa  uzinduzi wa filamu ya ‘Men in Black 3 in 3D uliodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Century Cinemax, Mlimani City, Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel Tanzania, Irene Madeje Mlola (kulia) akitoa zawadi kwa  Monica Joseph mmoja wa wateja wao waliohudhuria uzinduzi wa filamu ya ‘Men in Black 3 in 3D uliodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Century Cinemax, Mlimani City, Dar es Salaam jana.
 Mbunifu wa Kimataifa, Flaviana Matata (kushoto) akipozi kwa picha na Hilda Nakajumo, Meneja Huduma wa Airtel Tanzania wakati wa uzinduzi wa filamu ya Men in Black 3 in 3D jijini Dar es Salaam jana. Uzinduzi
ulidhaminiwa na Airtel.
 Ofisa Mauzo wa Airtel, Babra Ernest (wa pili kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa filamu ya ‘Men in Black 3 in 3D uliodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Century Cinemax, Mlimani City, Dar es Salaam
jana.
Sehemu ya watu waliohudhuria uzinduzi wa filamu ya ‘Men in Black 3 in 3D uliodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Century Cinemax, Mlimani City, Dar es Salaam jana. Filamu hiyo imechezwa na Will Smith, Josh Brolin na Justin Bieber.Source: JIACHIE BLOG
Posted by MROKI On Saturday, May 26, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo