
Madereva wa Dala dala wakiwa wanateta mambo baadhi juu ya manyanyaso wanayo yapata kutoka kwa Askari hao wa usalama wa bara barani muda mchache ulio pita


Hapa Baadhi ya madereva wakiwa wanaendelea na Kikao chao cha muda maeneo ya Mama John karibia na Kiwila Motel

Baadhi ya wanachi wakiwa wanangojea kuona nini hatima ya Mgomo huo wa madereva muda mchache uliopita

Mgomo ukiwa unaendelea muda mchache ulio pita.
Taarifa na Mbeya Yetu Blog.




0 comments:
Post a Comment