Sanamu ya Askari iliyopo katikati ya jiji la Dar es salaam ilinaswa ikiwa imefanyiwa uharibufu na watu wasio julikana baada ya Singe ya Sanamu hiyo ya Askari kupindishwa kama inavyoonekana pichani huku watu wakijiuliza aliyefanya hivyo alikuwa na nia gani na sanamu hiyo. ambayo inamiaka dahali jijini humo.
Lakini pia maeneo hayo kunakuaga na doria ya mara kwa mara ya askari wanaolinda mabenki na sehemu nyingine asa mhusika wakati anapanda hapa vyombo hivyo vya dola vya ulinzi wa mali za taifa na raia vilikuwa wapi?





0 comments:
Post a Comment