Nafasi Ya Matangazo

October 30, 2011

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyesha simu ya Bw. Leonard Kapinga (kulia) ambayea liitoa ili inadiwe katika harambee ya siku ya mavuno kwenye kanisa la Mtakatifu Petro Mjini Dar es salaam Oktoba 30, 2011.Simu hiyo iligombolewa na waliohudhuria kwenye harambee hiyo na kurudishwa kwa mwenyewe gharama ya sh. 522,000/. Kushoto ni Paroko wa Kanisa la Mtakatifu Petro,Padri  Joseph Mosha.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kiwa katika picha  ya pamoja na watoto waliochangia katika harambee ya siku ya mavuno ya kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam Oktoba 10,2011.  Kushoto kwake ni paroko wa kanisa hilo,Padri  Joseph Mosha.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na watoto baada ya kuongoza harambee ya siku ya mavuno kwenye kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es saalaa, Oktoba 30,2011.
Posted by MROKI On Sunday, October 30, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo