Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimlisha kipande cha keki mumewe Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kutimiza miaka 61 ya kuzaliwa kwake iliuyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.Anayeshuhudia ni mwanawe Ridhwani Kikwete na mkewe pamoja na Aziza, mjukuu wa Rais.
October 08, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment