Wadau mbalimbali jana usiku walijiachia kisawasawa katika usiku wakinywaji mwanana cha baileys pale Mlimani City jijini Dar es Salaam. Baileys kinywaji toka Serengeti Breweries Limited ilifanikiwa kuwakutanisha watu wa tasnia mbalimbali wakiwepo maofisa masoko, watangazaji, Wakurugenzi, wafanyabiashara na wasanii mbalimbali wa Filamu na mziki.
Baileys ni moja ya vinywaji laini sana na kizuri kunywewa na jamii yote na hakichoshi wala hakina maumivu wakati wa kukishusha kunako koo... ni kitu lainiiii.
Picha zaidi JIACHIE
0 comments:
Post a Comment