Nafasi Ya Matangazo

August 09, 2011

Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Kabwe(katikati) akijaza fomu jana ya kiunga na Mfumo wa  kuwekeza Amana wa Mfuko wa Pensheni (PPF) katika kilele cha maonyesho ya wakulima nanenane mjini Dodoma wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha.
 Zitto kabwe akizungumza jambo baada ya kukamilisha kujaza fomu za PPF
Zitto Kabwe akishow love na baadhi ya watumish wa PPF waliokuwa katika banda wakati wa maonesho ya nane nane.
Posted by MROKI On Tuesday, August 09, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo