Nafasi Ya Matangazo

July 02, 2011

Balozi wa Tanzania nchini Marekani awakaribisha wakuu wa makampuni ya marekani chakula cha mchana katika hoteli ya East Africa.

 Mwenyekiti wa C.T.I Bw Anup Modha akibadilishana kadi na balozi wa Tanzania nchini Marekani ,Bi Mwanaidi Maajar wakati wa chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa wakuu hao.

 Mwenyekiti wa C.T.I Bw Anup Modha (aliyesimama)akibadilishana kadi na mwenyekiti wa kampuni ya kufua umeme ya Symbion Power Bw Joseph Wilson.
 Wageni wakibadilishana mawazo. 
 Mwenyekiti wa C.T.I Bw Anup Modha akiteta jambo na mwenyekiti wa
kampuni ya kufua umeme ya Symbion Power Bw Joseph Wilson.
 Bw Anup Modha,Bw Joseph Wilson na Suleimani Saleh ambaye ni afisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani katika picha ya pamoja baada ya chakula cha pamoja na jumuiya ya wafanyabiashara na maafisa wa bodi ya utalii.
Balozi Mwanaid Maajar akizungmza na wana habari (hawapo pichani)baada ya chakula cha pamoja kati ya wakuu hao wa makampuni pamoja na jumuiya ya wafanyabiashara na maafisa wa bodi ya utalii.
Posted by MROKI On Saturday, July 02, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo