Nafasi Ya Matangazo

July 15, 2011

 Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL) Teddy Mapunda akitoa mada juu ya Biashara na Uwekezaji katika SBL kwa wahariri wa vyombo mbalimbali vya Habari nchini kupitia Jukwaa la Wahariri (TEF). Mkutano huo unafanyika Arusha katika Hotel ya Kibo Palace.
 Mhariri Mtedaji wa Mwananchi Communication, Bakari Machumu akiuliza swali wakati wa kuchangia mada hiyo iliyotolewa na Teddy Mapunda.
 Wahariri wakifuatlia mada iliyokuwa ikitolewa na Biashara na Uwekezaji katika SBL
 Joseph Kulangwa kutoka gazeti la Habarileo akichangia mada katika mkutano huo.
Jambo lililofurahisha halikuwazuia wahariri kutabasamu au kufurahi. 

Mkutano wa Siku mbili wa Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari kupitia Jukwaa la wahariri (TEF) umedhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL).
Posted by MROKI On Friday, July 15, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo