Nafasi Ya Matangazo

July 15, 2011

 Siku ambayo Mbunge wa Igunga na Kada maarufu wa CCM, Rostam Aziz alipojivua nyadhifa zake zote katika Chama na Ubunge.
 Vilio vya kwikwi na sauti pia vilitawala kufuatia uamuzi wake huo kwani licha ya kuandamwa na maneno mengi lakini huenda wananchi wa jimbo la Ingunga mkoani Tabora walikuwa wanafaidika sana na uongozi wake jimboni humo.
Kwakua alikuwa akiongea na wazee lakini Vijana na o hawakusita kuonesha masikitiko yao pale walipofika ghafla na mabango yaliyo na jumbe mbalimbali.

Hadi hivi saa taasisi zote ambazo Aziz alikuwa akizitumikia yaani Bunge na Chama cha Mapinduzi CCM, zinadai bado hazijapata taarifa rasmi ya kimaandishi juu ya kuachia ngazi kwake bali vinasikia tu kutoka vyombo vya habari.
Posted by MROKI On Friday, July 15, 2011 1 comment

1 comment:

  1. AnonymousJuly 16, 2011

    hawajui hata kuandika Jina lake.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo