Wanafunzi wa kike katika Shule ya Msingi Manda Wilaya ya Ludewa mkoani Iringa ambao wanasubiri kufanya mtihani wa Taifa wa Darasa la saba wakitoka kuokota kuni porini mida ya masomo baada ya kufukuzwa kwa kushindwa kulipa mchango wa shilingi 600 ili wapate kufanya mitihani ya kujipima ya Kata. Mzigo wa kuni kama huu wamekuwa wakiuuza kwa kiasi cha shilingi 100 kwa walimu wao.
July 28, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment