Waziri Mkuu, Mkuu, MIzengo Pinda akizungumza na Ujumbe kutoka Kampuni inayojenga kiwanda cha madawa ya kuua mazalia ya mbu cha Kibaha kiitwacho LABIOFAM ulioongozwa na Mkurugenzi wake Bw. Antonio J. Castro (wapili kulia), Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Juni15, 2011.
0 comments:
Post a Comment