Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Capt. George Mkuchika baada ya kufungua semina ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kwenye ukumbi wa St. Gasjini Dodoma Mjini Dodoma Juni 26, 2011.
Baadhi ya Wakuu wa Mikoa wakimsikiliza Waziri Mkuu, MIzengo Pinda wakati alipofungua semina yao kwenye kukumbi wa St. Gaspar Mjini Dodoma Juni 26, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Paschal Mabiti baada ya kufungua semina ya Wakuu wa Mikoa ,Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kwenye ukumbi wa St. Gaspar Mjini Dodoma, Juni 26, 2011.
0 comments:
Post a Comment